Yasyn 36:57 لهم فيها فاكهة ولهم ما يدعون ٥٧
لَهُمۡ
فِيهَا
فَٰكِهَةٞ
وَلَهُم
مَّا
يَدَّعُونَ
٥٧
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wao Peponi watakuwa na starehe ya matunda yenye ladha ya kila aina, na watakuwa na kila wanalolitaka.