Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Yasyn 36:7

36:7
لقد حق القول على اكثرهم فهم لا يومنون ٧
لَقَدْ حَقَّ ٱلْقَوْلُ عَلَىٰٓ أَكْثَرِهِمْ فَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ٧
لَقَدۡ
حَقَّ
ٱلۡقَوۡلُ
عَلَىٰٓ
أَكۡثَرِهِمۡ
فَهُمۡ
لَا
يُؤۡمِنُونَ
٧
Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika imeshapasa adhabu juu ya wengi wa hawa makafiri, baada ya kuonyeshwa haki wakaikataa, kwa kuwa hawamuamini Mwenyezi Mungu wala Mtume Wake wala hawafuati Sheria Zake kivitendo.