Yasyn 36:70 لينذر من كان حيا ويحق القول على الكافرين ٧٠
لِّيُنذِرَ
مَن
كَانَ
حَيّٗا
وَيَحِقَّ
ٱلۡقَوۡلُ
عَلَى
ٱلۡكَٰفِرِينَ
٧٠
Ili imwonye aliye hai, na neno litimie juu ya makafiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
ili imuonye ambaye moyo wake uko hai na akili yake ina nuru, na ili ithibiti adhabu kwa wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu, kwa kuwa wao, kwa hii Qur’ani, hoja ya Mwenyezi Mungu ya mkato imewasimamia.
ili imuonye ambaye moyo wake uko hai na akili yake ina nuru, na ili ithibiti adhabu kwa wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu, kwa kuwa wao, kwa hii Qur’ani…