Yasyn 36:71 اولم يروا انا خلقنا لهم مما عملت ايدينا انعاما فهم لها مالكون ٧١
أَوَلَمۡ
يَرَوۡاْ
أَنَّا
خَلَقۡنَا
لَهُم
مِّمَّا
عَمِلَتۡ
أَيۡدِينَآ
أَنۡعَٰمٗا
فَهُمۡ
لَهَا
مَٰلِكُونَ
٧١
Je! Hawaoni kwamba tumewaumbia kutokana na iliyo fanya mikono yetu wanyama wa mifugo, na wao wakawa wenye kuwamiliki. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani viumbe hawaoni kwamba sisi tumeumba kwa ajili yao wanyama tuliowadhalilishia wakawa wanawamiliki na kusimamia mambo yao.