Yasyn 36:80 الذي جعل لكم من الشجر الاخضر نارا فاذا انتم منه توقدون ٨٠
ٱلَّذِي
جَعَلَ
لَكُم
مِّنَ
ٱلشَّجَرِ
ٱلۡأَخۡضَرِ
نَارٗا
فَإِذَآ
أَنتُم
مِّنۡهُ
تُوقِدُونَ
٨٠
Aliye kujaalieni kupata moto kutokana na mti wa kijani nanyi mkawa kwa huo mnawasha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Ambaye Amewatolea, kwenye mti wa kijani ulio mbichi, moto unaochoma, ambao kwa mti huo mnawasha moto.» Yeye Ndiye Anayeweza kutoa, kwenye kitu, kinyume chake. Katika hayo pana dalili ya upweke wa Mwenyezi Mungu na ukamilifu wa uweza Wake, na miongoni mwa uweza huo ni kuwatoa wafu kutoka makaburini…
«Ambaye Amewatolea, kwenye mti wa kijani ulio mbichi, moto unaochoma, ambao kwa mti huo mnawasha moto.» Yeye Ndiye Anayeweza kutoa, kwenye kitu, kiny…