Yunus 10:44 ان الله لا يظلم الناس شييا ولاكن الناس انفسهم يظلمون ٤٤
إِنَّ
ٱللَّهَ
لَا
يَظۡلِمُ
ٱلنَّاسَ
شَيۡـٔٗا
وَلَٰكِنَّ
ٱلنَّاسَ
أَنفُسَهُمۡ
يَظۡلِمُونَ
٤٤
Hakika Mwenyezi Mungu hawadhulumu watu kitu chochote; lakini watu wenyewe wanajidhulumu nafsi zao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Hawadhulumu watu kitu chochote, kwa kuwaongezea makosa yao na kuwapunguzia mema yao, lakini watu ndio wanaojidhulumu nafsi zao kwa kukufuru, kuasi na kwenda kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na makatazo Yake.
Mwenyezi Mungu Hawadhulumu watu kitu chochote, kwa kuwaongezea makosa yao na kuwapunguzia mema yao, lakini watu ndio wanaojidhulumu nafsi zao kwa kuku…