Yunus 10:76 فلما جاءهم الحق من عندنا قالوا ان هاذا لسحر مبين ٧٦
فَلَمَّا
جَآءَهُمُ
ٱلۡحَقُّ
مِنۡ
عِندِنَا
قَالُوٓاْ
إِنَّ
هَٰذَا
لَسِحۡرٞ
مُّبِينٞ
٧٦
Basi ilipo wajia Haki kutoka kwetu walisema: Hakika huu ni uchawi dhaahiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Huo ukweli, ambao Alikuja nao Mūsā, ulipomfikia Fir'awn na watu wake, walisema, «Hakika miujiza aliyokuja nayo Mūsā ni uchawi mtupu ulio waziwazi.»