Yunus 10:86 ونجنا برحمتك من القوم الكافرين ٨٦
وَنَجِّنَا
بِرَحۡمَتِكَ
مِنَ
ٱلۡقَوۡمِ
ٱلۡكَٰفِرِينَ
٨٦
Na utuokoe kwa rehema yako na watu makafiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Na utuokoe, kwa rehema yako, kutokana na watu makafiri, Fir'awn na kundi lake.» Kwani wao walikuwa wakiwalazimisha kufanya kazi ngumu.