Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Yusuf 12:14

12:14
قالوا لين اكله الذيب ونحن عصبة انا اذا لخاسرون ١٤
قَالُوا۟ لَئِنْ أَكَلَهُ ٱلذِّئْبُ وَنَحْنُ عُصْبَةٌ إِنَّآ إِذًۭا لَّخَـٰسِرُونَ ١٤
قَالُواْ
لَئِنۡ
أَكَلَهُ
ٱلذِّئۡبُ
وَنَحۡنُ
عُصۡبَةٌ
إِنَّآ
إِذٗا
لَّخَٰسِرُونَ
١٤
Wakasema: Ikiwa mbwa mwitu atamla na hali sisi ni kundi lenye nguvu kabisa, basi bila ya shaka sisi tutakuwa khasarani. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Wakasema ndugu zake Yūsuf kumwambia baba yao, «Ikiwa mbwamwitu atamla na hali sisi ni kikundi chenye nguvu, sisi wakati huo tutakuwa ni wenye kupata hasara, hatuna wema wowote, na hakuna manufaa yoyote yanayotarajiwa kutoka kwetu.»