Yusuf 12:45 وقال الذي نجا منهما وادكر بعد امة انا انبيكم بتاويله فارسلون ٤٥
وَقَالَ
ٱلَّذِي
نَجَا
مِنۡهُمَا
وَٱدَّكَرَ
بَعۡدَ
أُمَّةٍ
أَنَا۠
أُنَبِّئُكُم
بِتَأۡوِيلِهِۦ
فَأَرۡسِلُونِ
٤٥
Hapo akasema yule aliye okoka katika wale wawili akakumbuka baada ya muda: Mimi nitakwambieni tafsiri yake. Basi nitumeni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo akasema yule aliyeokoka na kuuawa kati ya marafiki wawili wa Yūsuf ndani ya jela, na akakumbuka habari ya Yūsuf baada ya muda kupita, «Mimi nitawapa habari ya tafsiri ya ndoto hii. Nitumeni kwa Yūsuf nipate kuwaletea uaguzi wake.»
Hapo akasema yule aliyeokoka na kuuawa kati ya marafiki wawili wa Yūsuf ndani ya jela, na akakumbuka habari ya Yūsuf baada ya muda kupita, «Mimi nitaw…