Kisha baada ya haya utakuja mwaka ambao katika mwaka huo watu watasaidiwa, na watakamua. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Kisha utakuja, baada ya myaka hii ya chaka, mwaka ambapo watu watanyeshezewa mvua, na hivyo basi Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Awaondolee shida, hapo wakamue matunda kwa wingi wa mavuno na neema.»