Yusuf 12:7 ۞ لقد كان في يوسف واخوته ايات للسايلين ٧
۞ لَّقَدۡ
كَانَ
فِي
يُوسُفَ
وَإِخۡوَتِهِۦٓ
ءَايَٰتٞ
لِّلسَّآئِلِينَ
٧
Kwa yakini katika Yusuf na nduguze ziko ishara kwa wanao uliza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika katika kisa cha Yūsuf na ndugu zake kuna mazingatio na dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu na hekima Yake kwa anyeuliza habari zao na akataka kuzijua.
Hakika katika kisa cha Yūsuf na ndugu zake kuna mazingatio na dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu na hekima Yake kwa anyeuliza habari zao na akataka kuz…