Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Aali-Imran 3:12

3:12
قل للذين كفروا ستغلبون وتحشرون الى جهنم وبيس المهاد ١٢
قُل لِّلَّذِينَ كَفَرُوا۟ سَتُغْلَبُونَ وَتُحْشَرُونَ إِلَىٰ جَهَنَّمَ ۚ وَبِئْسَ ٱلْمِهَادُ ١٢
قُل
لِّلَّذِينَ
كَفَرُواْ
سَتُغۡلَبُونَ
وَتُحۡشَرُونَ
إِلَىٰ
جَهَنَّمَۖ
وَبِئۡسَ
ٱلۡمِهَادُ
١٢
Waambie walio kufuru: Karibuni mtashindwa na mtakusanywa, mtiwe kwenye Jahannam; nako huko ni makao mabaya kabisa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Sema, ewe Mtume, kuwaambia makafiri miongoni mwa Mayhudi na wengineo na wale ambao waliudharau ushindi wako katika Badr, «Nyinyi mtashindwa duniani na mtakufa ukafirini, na mtakusanywa mpelekwe kwenye Moto wa Jahanamu, ambao utakuwa ni tandiko la milele kwenu; tandiko baya sana ni hilo.»