Aali-Imran 3:173 الذين قال لهم الناس ان الناس قد جمعوا لكم فاخشوهم فزادهم ايمانا وقالوا حسبنا الله ونعم الوكيل ١٧٣
ٱلَّذِينَ
قَالَ
لَهُمُ
ٱلنَّاسُ
إِنَّ
ٱلنَّاسَ
قَدۡ
جَمَعُواْ
لَكُمۡ
فَٱخۡشَوۡهُمۡ
فَزَادَهُمۡ
إِيمَٰنٗا
وَقَالُواْ
حَسۡبُنَا
ٱللَّهُ
وَنِعۡمَ
ٱلۡوَكِيلُ
١٧٣
Walio ambiwa na watu: Kuna watu wamekukusanyikieni, waogopeni! Hayo yakawazidishia Imani, wakasema: Mwenyezi Mungu anatutosha, naye ni mbora wa kutegemewa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wao ni wale walioambiwa na baadhi ya washirikina , «Abu Sufyani na wenzake wameamua kuwarudia nyinyi ili kuwamaliza, basi jihadharini nao na mjikinge na kukutana nao, kwani hamna nguvu za kupambana nao.» Tahadhari hiyo iliwazidishia yakini na kuikubali kikweli ahadi ya Mwenyezi Mungu kwao na haikuwa…
Wao ni wale walioambiwa na baadhi ya washirikina , «Abu Sufyani na wenzake wameamua kuwarudia nyinyi ili kuwamaliza, basi jihadharini nao na mjikinge …