Aali-Imran 3:175 انما ذالكم الشيطان يخوف اولياءه فلا تخافوهم وخافون ان كنتم مومنين ١٧٥
إِنَّمَا
ذَٰلِكُمُ
ٱلشَّيۡطَٰنُ
يُخَوِّفُ
أَوۡلِيَآءَهُۥ
فَلَا
تَخَافُوهُمۡ
وَخَافُونِ
إِن
كُنتُم
مُّؤۡمِنِينَ
١٧٥
Hakika huyo ni Shet'ani anawatia khofu marafiki zake, basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi mkiwa nyinyi ni Waumini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika anyewazorotesha nyinyi katika hilo ni Shetani. Amewajia kuwafanya nyinyi muwaogope wasaidizi wake. Basi msiwaogope washirikina, kwani wao ni wanyonge, hakuna mwenye kuwanusuru. Niogopeni mimi kwa kuelekea kwangu kwa utiifu, iwapo nyinyi kweli mnaniamini na mnamfuata Mtume wangu.
Hakika anyewazorotesha nyinyi katika hilo ni Shetani. Amewajia kuwafanya nyinyi muwaogope wasaidizi wake. Basi msiwaogope washirikina, kwani wao ni wa…