Aali-Imran 3:178 ولا يحسبن الذين كفروا انما نملي لهم خير لانفسهم انما نملي لهم ليزدادوا اثما ولهم عذاب مهين ١٧٨
وَلَا
يَحۡسَبَنَّ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُوٓاْ
أَنَّمَا
نُمۡلِي
لَهُمۡ
خَيۡرٞ
لِّأَنفُسِهِمۡۚ
إِنَّمَا
نُمۡلِي
لَهُمۡ
لِيَزۡدَادُوٓاْ
إِثۡمٗاۖ
وَلَهُمۡ
عَذَابٞ
مُّهِينٞ
١٧٨
Wala wasidhani wale wanao kufuru kwamba huu muhula tunao wapa ni kheri yao. Hakika tunawapa muhula wazidi madhambi. Na yao wao ni adhabu ya kuwadhalilisha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wala wasidhani wakanushaji kwamba sisi tukiwarefushia umri wao, tukawastarehesha kwa starehe za duniani na tusiwaadhibu kwa ukafiri wao na madhambi yao kwamba watakuwa wamepata heri ya nafsi zao. Hakika tunawacheleweshea adhabu na ajali zao ili wazidishe dhuluma na ukeukaji mipaka. Na watapata adhab…
Wala wasidhani wakanushaji kwamba sisi tukiwarefushia umri wao, tukawastarehesha kwa starehe za duniani na tusiwaadhibu kwa ukafiri wao na madhambi ya…