Aali-Imran 3:22 اولايك الذين حبطت اعمالهم في الدنيا والاخرة وما لهم من ناصرين ٢٢
أُوْلَٰٓئِكَ
ٱلَّذِينَ
حَبِطَتۡ
أَعۡمَٰلُهُمۡ
فِي
ٱلدُّنۡيَا
وَٱلۡأٓخِرَةِ
وَمَا
لَهُم
مِّن
نَّٰصِرِينَ
٢٢
Hao ndio ambao vitendo vyao vimeharibika duniani na Akhera. Nao hawatapata wa kuwanusuru. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hao ndio ambao amali zao zilitanguka ulimwenguni na Akhera. Hakuna amali yao yoyote itakubaliwa, na hawatakuwa na yoyote mwenye kuwanusuru kutokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu.
Hao ndio ambao amali zao zilitanguka ulimwenguni na Akhera. Hakuna amali yao yoyote itakubaliwa, na hawatakuwa na yoyote mwenye kuwanusuru kutokana na…