Aali-Imran 3:32 قل اطيعوا الله والرسول فان تولوا فان الله لا يحب الكافرين ٣٢
قُلۡ
أَطِيعُواْ
ٱللَّهَ
وَٱلرَّسُولَۖ
فَإِن
تَوَلَّوۡاْ
فَإِنَّ
ٱللَّهَ
لَا
يُحِبُّ
ٱلۡكَٰفِرِينَ
٣٢
Sema: Mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume. Na wakigeuka basi Mwenyezi Mungu hawapendi makafiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sema, ewe Mtume, «Mtiini Mwenyezi Mungu kwa kufuata Kitabu Chake, na mtiini Mtume kwa kufuata mwenendo wake wakati wa uhai wake na baada ya kufa kwake.Wakiwa watakupa mgongo na kukamaa kwenye ukafiri na upotevu walionao, wao hawatakuwa wanastahili mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Kwani Mwenyezi Mungu Hawa…
Sema, ewe Mtume, «Mtiini Mwenyezi Mungu kwa kufuata Kitabu Chake, na mtiini Mtume kwa kufuata mwenendo wake wakati wa uhai wake na baada ya kufa kwake…