Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Aali-Imran 3:43

3:43
يا مريم اقنتي لربك واسجدي واركعي مع الراكعين ٤٣
يَـٰمَرْيَمُ ٱقْنُتِى لِرَبِّكِ وَٱسْجُدِى وَٱرْكَعِى مَعَ ٱلرَّٰكِعِينَ ٤٣
يَٰمَرۡيَمُ
ٱقۡنُتِي
لِرَبِّكِ
وَٱسۡجُدِي
وَٱرۡكَعِي
مَعَ
ٱلرَّٰكِعِينَ
٤٣
Ewe Maryamu! Mnyenyekee Mola Mlezi wako na usujudu na uiname pamoja na wainamao. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Ewe Maryam, Endelea daima kumtii Mola wako, simama kwa utulivu na unyenyekevu na usujudu na urukuu pamoja na wenye kurukuu kwa kumshukuru Mola wako juu ya neema Alizokutunukia.»