Aali-Imran 3:57 واما الذين امنوا وعملوا الصالحات فيوفيهم اجورهم والله لا يحب الظالمين ٥٧
وَأَمَّا
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَعَمِلُواْ
ٱلصَّٰلِحَٰتِ
فَيُوَفِّيهِمۡ
أُجُورَهُمۡۗ
وَٱللَّهُ
لَا
يُحِبُّ
ٱلظَّٰلِمِينَ
٥٧
Na ama wale walio amini na wakatenda mema basi Mwenyezi Mungu atawalipa ujira wao kaamili. Na Mwenyezi Mungu hawapendi madhaalimu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ama wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mitume Wake na wakafanya matendo mema, Mwenyezi Mungu Atawapa thawabu za matendo yao zikiwa kamili zisizopunguzwa. Na Mwenyezi Mungu Hawapendi wenye kujidhulumu kwa ushirikina na ukafiri.
Na ama wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mitume Wake na wakafanya matendo mema, Mwenyezi Mungu Atawapa thawabu za matendo yao zikiwa kamili zisizopu…