Aali-Imran 3:59 ان مثل عيسى عند الله كمثل ادم خلقه من تراب ثم قال له كن فيكون ٥٩
إِنَّ
مَثَلَ
عِيسَىٰ
عِندَ
ٱللَّهِ
كَمَثَلِ
ءَادَمَۖ
خَلَقَهُۥ
مِن
تُرَابٖ
ثُمَّ
قَالَ
لَهُۥ
كُن
فَيَكُونُ
٥٩
Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika mfano wa Mwenyezi Mungu kumuumba 'Īlsa, bila ya baba, ni kama mfano wa Mwenyezi Mungu kumuumba Adam, bila ya baba wala mama. Mwenyezi Mungu Alimuumba kutokana na mchanga wa ardhi kisha Akamwabia, «kuwa kiumbe», akawa. Basi madai ya uungu wa 'Īsā kwa kuwa aliumbwa bila ya baba, ni madai ya uro…
Hakika mfano wa Mwenyezi Mungu kumuumba 'Īlsa, bila ya baba, ni kama mfano wa Mwenyezi Mungu kumuumba Adam, bila ya baba wala mama. Mwenyezi Mungu Ali…