Aali-Imran 3:62 ان هاذا لهو القصص الحق وما من الاه الا الله وان الله لهو العزيز الحكيم ٦٢
إِنَّ
هَٰذَا
لَهُوَ
ٱلۡقَصَصُ
ٱلۡحَقُّۚ
وَمَا
مِنۡ
إِلَٰهٍ
إِلَّا
ٱللَّهُۚ
وَإِنَّ
ٱللَّهَ
لَهُوَ
ٱلۡعَزِيزُ
ٱلۡحَكِيمُ
٦٢
Hakika haya ndiyo maelezo ya kweli. Na hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu tu, na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye nguvu na Mwenye hikima. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika hili nililokuhadithia, ewe Mtume, kuhusu mambo ya ‘Īsā ndio habari ya kweli isiyo na shaka. Na hakuna muabudiwa anayestahiki ibada isipokuwa ni Mwenyezi Mungu Peke Yake. Na hakika Mwenyezi Mungu Ndiye Mshindi katika ufalme Wake, Ndiye Mwenye hekima katika upelekaji mambo Wake na vitendo Vyake…
Hakika hili nililokuhadithia, ewe Mtume, kuhusu mambo ya ‘Īsā ndio habari ya kweli isiyo na shaka. Na hakuna muabudiwa anayestahiki ibada isipokuwa ni…