Aali-Imran 3:70 يا اهل الكتاب لم تكفرون بايات الله وانتم تشهدون ٧٠
يَٰٓأَهۡلَ
ٱلۡكِتَٰبِ
لِمَ
تَكۡفُرُونَ
بِـَٔايَٰتِ
ٱللَّهِ
وَأَنتُمۡ
تَشۡهَدُونَ
٧٠
Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnazikataa Ishara za Mwenyezi Mungu ilhali nyinyi mnashuhudia? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Enyi watu wa Taurati na Injili! Vipi nyinyi mnakanusha aya za Mwenyezi Mungu ambazo aliziteremsha kwa Mitume wake katika Vitabu vyenu, na ndani yake muna kuwa Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ndiye Mtume anayengojewa na kuwa aliyowajia nayo ndio haki. Na nyinyi mnashuhudia hil…
Enyi watu wa Taurati na Injili! Vipi nyinyi mnakanusha aya za Mwenyezi Mungu ambazo aliziteremsha kwa Mitume wake katika Vitabu vyenu, na ndani yake m…