Yeye humchagua kumpa rehema zake amtakaye; na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kubwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mwenyezi Mungu Anawahusisha Anaowataka katika viumbe Wake kwa kuwapa utume na kuwaongoa kwenye Sheria kamilifu kabisa. Na Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye ihsani na upaji mwingi wenye kuenea.