Aali-Imran 3:87 اولايك جزاوهم ان عليهم لعنة الله والملايكة والناس اجمعين ٨٧
أُوْلَٰٓئِكَ
جَزَآؤُهُمۡ
أَنَّ
عَلَيۡهِمۡ
لَعۡنَةَ
ٱللَّهِ
وَٱلۡمَلَٰٓئِكَةِ
وَٱلنَّاسِ
أَجۡمَعِينَ
٨٧
Hao malipo yao ni kuwa ipo juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Madhalimu hao, malipo yao ni kuwa wao watashukiwa na laana ya Mwenyezi Mungu na Malaika na watu wote. Wao wamefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu.