Abasa 80:1 عبس وتولى ١
عَبَسَ
وَتَوَلَّىٰٓ
١
Alikunja kipaji na akageuka! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Yalidhihiri mabadiliko na mkunjiko katika uso wa Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie,
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis