Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye Nyumba yako Takatifu, ewe Mola wetu Mlezi, ili washike Swala. Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao, na waruzuku matunda, ili wapata kushukuru. 1
Maelezo
These are the same word, with the additional ya' (read from the same skeletal form) being an alternative pronunciation at this juncture only [al-Alusi]. Editor's note: it is also possible that this reading points to another meaning found in non-canonical readings, i.e. "delegations" of people who would flock to Makkah.