Ad-Dahr 76:22 ان هاذا كان لكم جزاء وكان سعيكم مشكورا ٢٢
إِنَّ
هَٰذَا
كَانَ
لَكُمۡ
جَزَآءٗ
وَكَانَ
سَعۡيُكُم
مَّشۡكُورًا
٢٢
Hakika haya ni malipo yenu; na juhudi zenu zimekubaliwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wataambiwa, «Hakika nyinyi mmetayarishiwa haya yakiwa ni badala ya matendo yenu mema, na matendo yenu duniani yalikuwa ni yenye kukubaliwa na kuridhiwa na Mwenyezi Mungu.»
Na wataambiwa, «Hakika nyinyi mmetayarishiwa haya yakiwa ni badala ya matendo yenu mema, na matendo yenu duniani yalikuwa ni yenye kukubaliwa na kurid…