Ad-Dahr 76:25 واذكر اسم ربك بكرة واصيلا ٢٥
وَٱذۡكُرِ
ٱسۡمَ
رَبِّكَ
بُكۡرَةٗ
وَأَصِيلٗا
٢٥
Na likumbuke jina la Mola wako Mlezi asubuhi na jioni; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na uendelee kutaja jina la Mola wako na kumuomba mwanzo wa mchana na mwisho wake.