Ad-Dahr 76:26 ومن الليل فاسجد له وسبحه ليلا طويلا ٢٦
وَمِنَ
ٱلَّيۡلِ
فَٱسۡجُدۡ
لَهُۥ
وَسَبِّحۡهُ
لَيۡلٗا
طَوِيلًا
٢٦
Na usiku msujudie Yeye, na umtakase usiku, wakati mrefu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wakati wa usiku, mnyenyekee Mola wako na umswalie na umuabudu kipindi kirefu cha usiku.