Ad-Dahr 76:5 ان الابرار يشربون من كاس كان مزاجها كافورا ٥
إِنَّ
ٱلۡأَبۡرَارَ
يَشۡرَبُونَ
مِن
كَأۡسٖ
كَانَ
مِزَاجُهَا
كَافُورًا
٥
Hakika watu wema watakunywa katika vinywaji vilivyo changanyika na kafuri! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika watu wa utiifu na ukweli wa Imani wanaotekeleza haki za Mwenyezi Mungu, watakunywa, Siku ya Kiyama, kutoka kwenye kikombe ambacho ndani yake mna Pombe lililochanganywa na aina bora kabisa ya harufu nzuri, nayo ni maji ya kafuri.
Hakika watu wa utiifu na ukweli wa Imani wanaotekeleza haki za Mwenyezi Mungu, watakunywa, Siku ya Kiyama, kutoka kwenye kikombe ambacho ndani yake mn…