Ad-Dahr 76:6 عينا يشرب بها عباد الله يفجرونها تفجيرا ٦
عَيۡنٗا
يَشۡرَبُ
بِهَا
عِبَادُ
ٱللَّهِ
يُفَجِّرُونَهَا
تَفۡجِيرٗا
٦
Ni chemchem watakao inywa waja wa Mwenyezi Mungu, wakiifanya imiminike kwa wingi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kinywaji hiki kilichochanganywa na kafuri, ni chemchemi wanayokunywa waja wa Mwenyezi Mungu, wanaitumia na kuipitisha wanavyotaka mapitisho mazuri.