Ad-Dahr 76:9 انما نطعمكم لوجه الله لا نريد منكم جزاء ولا شكورا ٩
إِنَّمَا
نُطۡعِمُكُمۡ
لِوَجۡهِ
ٱللَّهِ
لَا
نُرِيدُ
مِنكُمۡ
جَزَآءٗ
وَلَا
شُكُورًا
٩
Hakika sisi tunakulisheni kwa wajihi wa Mwenyezi Mungu. Hatutaki kwenu malipo wala shukrani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na huku wanasema katika nafsi zao, «Hakika sisi tunawafanyia wema kwa kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu na kutaka malipo yake. Hatutaki badala wala hatukusudii kushukuriwa wala kusifiwa na nyinyi.
na huku wanasema katika nafsi zao, «Hakika sisi tunawafanyia wema kwa kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu na kutaka malipo yake. Hatutaki badala wala hat…