Ad-Dukhan 44:19 وان لا تعلوا على الله اني اتيكم بسلطان مبين ١٩
وَأَن
لَّا
تَعۡلُواْ
عَلَى
ٱللَّهِۖ
إِنِّيٓ
ءَاتِيكُم
بِسُلۡطَٰنٖ
مُّبِينٖ
١٩
Na msimfanyie kiburi Mwenyezi Mungu; hakika mimi nitakuleteeni uthibitisho ulio wazi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na msimfanyie kiburi Mwenyezi Mungu kwa kuwakanusha Mitume Wake, kwani mimi ni mwenye kuwajia na hoja waziwazi ya ukweli wa utume wangu.