Ad-Dukhan 44:22 فدعا ربه ان هاولاء قوم مجرمون ٢٢
فَدَعَا
رَبَّهُۥٓ
أَنَّ
هَٰٓؤُلَآءِ
قَوۡمٞ
مُّجۡرِمُونَ
٢٢
Ndipo akamwomba Mola wake Mlezi: Hakika watu hawa ni wakosefu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo Mūsā akamuomba Mola wake, Fir’awn na watu wake walipomkanusha, akisema, «Hakika hawa ni watu wenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kumkanusha.”