Ad-Dukhan 44:25 كم تركوا من جنات وعيون ٢٥
كَمۡ
تَرَكُواْ
مِن
جَنَّٰتٖ
وَعُيُونٖ
٢٥
Mabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ni vingapi alivyoviacha Fir’awn na watu wake, baada ya kuangamia kwao na kuzamishwa baharini na Mwenyezi Mungu, miongoni mwa mabustani na mashamba yaliyostawi, chemchemi za maji yenye kupita,
Ni vingapi alivyoviacha Fir’awn na watu wake, baada ya kuangamia kwao na kuzamishwa baharini na Mwenyezi Mungu, miongoni mwa mabustani na mashamba yal…