Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Ad-Dukhan 44:25

44:25
كم تركوا من جنات وعيون ٢٥
كَمْ تَرَكُوا۟ مِن جَنَّـٰتٍۢ وَعُيُونٍۢ ٢٥
كَمۡ
تَرَكُواْ
مِن
جَنَّٰتٖ
وَعُيُونٖ
٢٥
Mabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Ni vingapi alivyoviacha Fir’awn na watu wake, baada ya kuangamia kwao na kuzamishwa baharini na Mwenyezi Mungu, miongoni mwa mabustani na mashamba yaliyostawi, chemchemi za maji yenye kupita,