Ad-Dukhan 44:28 كذالك واورثناها قوما اخرين ٢٨
كَذَٰلِكَۖ
وَأَوۡرَثۡنَٰهَا
قَوۡمًا
ءَاخَرِينَ
٢٨
Ndio hivyo! Na tukawarithisha haya watu wenginewe. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mfano wa mateso hayo ndivyo Mwenyezi Mungu Anavyowatesa wenye kukanusha na kubadilisha neema za Mwenyezi Mungu kwa kuzikanusha. Na tuliwarithisha neema hizo, baada ya Fir’awn na watu wake, watu wengine waliokuja baada yao wakashika nafasi yao miongoni mwa Wana wa Isrāīl.
Mfano wa mateso hayo ndivyo Mwenyezi Mungu Anavyowatesa wenye kukanusha na kubadilisha neema za Mwenyezi Mungu kwa kuzikanusha. Na tuliwarithisha neem…