Ad-Dukhan 44:29 فما بكت عليهم السماء والارض وما كانوا منظرين ٢٩
فَمَا
بَكَتۡ
عَلَيۡهِمُ
ٱلسَّمَآءُ
وَٱلۡأَرۡضُ
وَمَا
كَانُواْ
مُنظَرِينَ
٢٩
La mbingu wala ardhi hazikuwalilia, wala hawakupewa muhula. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mbingu na ardhi hazikulia kwa kumsikitikia Fir’awn na watu wake, na hawakuwa ni wenye kucheleshewa adhabu iliyowashukia.