Ad-Dukhan 44:30 ولقد نجينا بني اسراييل من العذاب المهين ٣٠
وَلَقَدۡ
نَجَّيۡنَا
بَنِيٓ
إِسۡرَٰٓءِيلَ
مِنَ
ٱلۡعَذَابِ
ٱلۡمُهِينِ
٣٠
Na bila ya shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katika adhabu ya kuwadhalilisha, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika, tuliwaokoa Wana wa Isrāīl kutokana na adhabu yenye kuwafanya wanyonge kwa kuuawa watoto wao wa kiume na kutumishwa wanawake wao.