Ad-Dukhan 44:31 من فرعون انه كان عاليا من المسرفين ٣١
مِن
فِرۡعَوۡنَۚ
إِنَّهُۥ
كَانَ
عَالِيٗا
مِّنَ
ٱلۡمُسۡرِفِينَ
٣١
Ya Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenye kupindukia mipaka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kutokana na Fir’awn. Hakika yeye alikuwa mjeuri, miongoni mwa washirikina, aliyepita mpaka katika kujigamba na kuwafanyia kiburi waja wa Mwenyezi Mungu.
Kutokana na Fir’awn. Hakika yeye alikuwa mjeuri, miongoni mwa washirikina, aliyepita mpaka katika kujigamba na kuwafanyia kiburi waja wa Mwenyezi Mung…