Ad-Dukhan 44:33 واتيناهم من الايات ما فيه بلاء مبين ٣٣
وَءَاتَيۡنَٰهُم
مِّنَ
ٱلۡأٓيَٰتِ
مَا
فِيهِ
بَلَٰٓؤٞاْ
مُّبِينٌ
٣٣
Na tukawapa katika ishara zenye majaribio yaliyo wazi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tukawapatia miujiza, kupitia kwa Mūsā, ambayo ilikuwa ni mtihani na maonjo kwao ya raha na shida.