Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
044

Ad-Dukhan 44:41 يوم لا يغني مولى عن مولى شييا ولا هم ينصرون ٤١

44:41
يَوۡمَ
لَا
يُغۡنِي
مَوۡلًى
عَن
مَّوۡلٗى
شَيۡـٔٗا
وَلَا
هُمۡ
يُنصَرُونَ
٤١
Siku ambayo rafiki hatamfaa rafiki yake kwa chochote, wala hawatanusuriwa. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Siku ambayo hakuna rafiki atayeweza kumuondolea rafiki yake shida yoyote, wala hawatasaidiana wao kwa wao,
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 44, Ukurasa 498, Juzuu 25

30. Na bila ya shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katika adhabu ya kuwadhalilisha, 31. Ya Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenye kupindukia mipaka. 32. Na tuliwakhiari kwa ujuzi wetu kuliko walimwengu wenginewe. 33. Na tukawapa katika ishara zenye majaribio yaliyo wazi. 34. Hakika hawa wanasema: 35. Hapana ila kufa kwetu mara ya kwanza tu, wala sisi hatufufuliwi. 36. Basi warudisheni baba zetu, ikiwa nyinyi mnasema kweli. 37. Je! Ni wao bora au watu wa Tubbaa' na walio kuwa kabla yao? Tuliwaangamiza. Hakika hao walikuwa wakosefu. 38. Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo baina yake kwa mchezo. 39. Hatukuviumba hivyo ila kwa Haki, lakini wengi wao hawajui. 40. Hakika siku ya Uamuzi ni wakati ulio wekwa kwa wao wote. 41. Siku ambayo rafiki hatamfaa rafiki yake kwa chochote, wala hawatanusuriwa. 42. Isipo kuwa atakaye mrehemu Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia