Ad-Dukhan 44:54 كذالك وزوجناهم بحور عين ٥٤
كَذَٰلِكَ
وَزَوَّجۡنَٰهُم
بِحُورٍ
عِينٖ
٥٤
Hivi ndivyo itakavyo kuwa, na tutawaoza mahurilaini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kama tutakavyowapa huko Akhera takrima ya kuwaingiza Peponi na kuwavisha hariri nzito na hariri yenye mng’aro, vilevile tutawakirimu kwa kuwaoza wanawake wazuri wenye macho makubwa ya kupendeza.
Kama tutakavyowapa huko Akhera takrima ya kuwaingiza Peponi na kuwavisha hariri nzito na hariri yenye mng’aro, vilevile tutawakirimu kwa kuwaoza wanaw…