Ad-Dukhan 44:55 يدعون فيها بكل فاكهة امنين ٥٥
يَدۡعُونَ
فِيهَا
بِكُلِّ
فَٰكِهَةٍ
ءَامِنِينَ
٥٥
Humo watataka kila aina ya matunda, na wakae kwa amani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wataka wachamungu hao huko Peponi waletewe kila aina ya matunda ya Peponi wanayoyatamani, wakiwa wamejiaminisha kuwa neema hizo hazitakatika wala hazitamalizika.
Wataka wachamungu hao huko Peponi waletewe kila aina ya matunda ya Peponi wanayoyatamani, wakiwa wamejiaminisha kuwa neema hizo hazitakatika wala hazi…