Adh-Dhaariyat 51:11 الذين هم في غمرة ساهون ١١
ٱلَّذِينَ
هُمۡ
فِي
غَمۡرَةٖ
سَاهُونَ
١١
Ambao wameghafilika katika ujinga. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
waliomo ndani ya dimbwi la ukafiri na upotevu hali ya kuwa wameghafilika na kujikita kwenye ubatilifu wao.