Adh-Dhaariyat 51:12 يسالون ايان يوم الدين ١٢
يَسۡـَٔلُونَ
أَيَّانَ
يَوۡمُ
ٱلدِّينِ
١٢
Wanauliza: Ni lini hiyo siku ya malipo? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wanauliza hawa wenye kukanusha suali la kuonyesha kuwa ni jambo lisilowezekana na la kuonyesha ukanushaji, «Ni lini Siku ya kuhesabiwa na kulipwa?»