Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
051

Adh-Dhaariyat 51:14 ذوقوا فتنتكم هاذا الذي كنتم به تستعجلون ١٤

51:14
ذُوقُواْ
فِتۡنَتَكُمۡ
هَٰذَا
ٱلَّذِي
كُنتُم
بِهِۦ
تَسۡتَعۡجِلُونَ
١٤
Onjeni adhabu yenu! Haya ndiyo mliyo kuwa mkiyahimiza. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

«Onjeni adhabu yenu ambayo mlikuwa mkiifanyia haraka duniani.»
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 51, Ukurasa 521, Juzuu 26

1. Naapa kwa pepo zinazo tawanya! 2. Na zinazo beba mizigo! 3. Na zinazo kwenda kwa wepesi. 4. Na zinazo gawanya kwa amri! 5. Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka ni kweli! 6. Na kwa hakika malipo bila ya shaka yatatokea. 7. Naapa kwa mbingu zenye njia! 8. Hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana. 9. Anageuzwa kutokana na haki mwenye kugeuzwa. 10. Wazushi wameangamizwa. 11. Ambao wameghafilika katika ujinga. 12. Wanauliza: Ni lini hiyo siku ya malipo? 13. Hiyo ni siku watakayo adhibiwa Motoni. 14. Onjeni adhabu yenu! Haya ndiyo mliyo kuwa mkiyahimiza. 15. Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 16. Wanapokea aliyo wapa Mola wao Mlezi. Kwa hakika hao walikuwa kabla ya haya wakifanya mema. 17. Walikuwa wakilala kidogo tu usiku. 18. Na kabla ya alfajiri wakiomba maghfira. 19. Na katika mali yao ipo haki ya mwenye kuomba na asiye omba. 20. Na katika ardhi zipo Ishara kwa wenye yakini. 21. Na pia katika nafsi zenu - Je! Hamwoni? 22. Na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyo ahidiwa. 23. Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, hakika haya ni kweli kama ilivyo kweli kuwa nyinyi mnasema.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia