Adh-Dhaariyat 51:15 ان المتقين في جنات وعيون ١٥
إِنَّ
ٱلۡمُتَّقِينَ
فِي
جَنَّٰتٖ
وَعُيُونٍ
١٥
Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika ya wale wanaomcha Mwenyezi Mungu watakuwa kwenye mabustani ya Pepo makubwa na chemchemi za maji yenye kutembea. Mwenyezi Mungu Atawapa yote wanayoyatamani ya aina mbalimbali za starehe.
Hakika ya wale wanaomcha Mwenyezi Mungu watakuwa kwenye mabustani ya Pepo makubwa na chemchemi za maji yenye kutembea. Mwenyezi Mungu Atawapa yote wan…