Adh-Dhaariyat 51:19 وفي اموالهم حق للسايل والمحروم ١٩
وَفِيٓ
أَمۡوَٰلِهِمۡ
حَقّٞ
لِّلسَّآئِلِ
وَٱلۡمَحۡرُومِ
١٩
Na katika mali yao ipo haki ya mwenye kuomba na asiye omba. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na katika mali yao kulikuwa na haki ya lazima na ya kupendekezwa kupewa wahitaji wanaowaomba watu na wasiowaomba kwa kuona haya.